MENU

Tuesday, 19 January 2016

Za Sanaa January/Februari'16

Twitter: @CarolAnande Instagram: @CarolAnande Facebook: @CarolAnande

 

Kwa macho yako pekee, chini ni baadhi ya matukio ya
Sanaa ambayo waweza jumbulika nayo ukiwa pande za Afrika Mashariki, ndani ya mwezi wa Januari na Februati. .Below is some art events that can delight your senses in TZ, in the month of Jan & Feb,

Karibu Music festival is calling for artists, kama wewe ni msanii na ungependa kutumbwiza ndani ya tamasha hili mwaka huu...please visit their website for more detials-http://karibumusic.org/artistis/call-for-artists/

Pia tamasha la 'Kampala International Theatre' nalo la karibisha wasanii mnaopenda kushiriki mwaka huu, for more details. Temebelea tovuti yao kampalainternationaltheatrefestival.com/call-for-submissions-2016/

As well ZIFF-Zanzibar International Film Festival, is calling for Musicians  & performing artists to send their requests to be part of the festival this year. Kama ni msanii na ungependa kushiriki kwenye tamasha la ZIFF mwaka huu. Tuma kazi zako, send your work via a Youtube link, Vimeo, Sound Cloud, pictures (picha) and your profile (wosia) to-mpa@ziff.or.tz. Mwisho wa mapokezi (deaedline) ni 31st March 2016-6 mchana

Pia, the United Nationas Volunteerism is hosting a Kitenge African Volunteerism (KAV);
Mahali: UN Headquarters, Masaki, DSM
Siku: 18/02/2016
Muda: 9am/3asubuhi-01pm/7 mchana
Vazi: Liwe na Kitenge au KhangaWanapokea entries of window photo's for this exhibition go to 
https://www.facebook.com/Vipaji-Foundation-523778354307089Leo Mkanyia with the Swahili Blues Band will be performing at the WaterFront Restaurant in Slipway DSM, on the 27th of Feb, also you can catch him with his band every fridays at Serena Hotel in DSM from 6pm


Jisikie huru kunitupia matangazo ya matukio mbali mbali ya Sanaa nchini kwenye anuani yangu ya 'barua pepe'-carolanande@gmail.com. Feel free to send me posters of art events in TZ


Jumamosi 27th February FIT FOR LIFE- Pale Nafasi, Mikocheni, DSM. Tamasha la watoto kwenye Sarakasi, ikiambatana na warsha  za 'sarakasi', Pia kutakuwa na muziki 'live' wa Samba na Reggae kutoka kwa 'Babawatoto group, KCC, SIFA na SHADA Group.CDEA- YAITA MAPOKEZI TOKA KWA WAANDISHI MBALIMBALI JIJINI DAR KWA WARSHA YA WAANDISHI NA PROFESSOR KUTOKA UGANDA-for more information click on this link http://www.cdea.or.tz/cdea-news/call-for-applications-editors-and-writers-training-workshop/#.VrR0-9J97ct


Tanzania has over 1,000,000 people with hearing disabilities and ONLY 5 Sign Language Interpreters. Needless to say, the dropout rate of students with hearing disabilities in Secondary Schools is high because these kids are mixed and taught alongside hearing children. Today there are only 5 deaf people who have attained a Masters level of education in Tanzania.

No comments:

Post a Comment