Thursday, 5 March 2015

Upcoming Art Events March/April’15

By Sanaa & Culture

Haya sasa Machi hiyo, siku hazigandi mwaka 2015 wazidi changanya. 

There’s plenty that’shappening in the art world in TZ and I hope you’ll find your pick and go enjoy if in the vicinity.

Toka maonyesho ya maigizo, wanadada wa mashairi mpaka okestra na kwaya. Ama kweli hauna kisingizio.  

Plus feel free to send me a message on our Facebook page MKEKA for any arts events happening in the country...

Enjoy Art events below in TZ this March & April…


Name of Event (Onyesho)
Place (Mahali)-Kiingilio (Entrance)
Date/Time (Muda,Siku)
La Poetista Ft Maya Wegerif aka ‘Maya the Poet’
MOG Lounge (iliyokuwa Nyumbani Lounge) DSM-5,000Tshs
05/03/15-7pm/1usiku
Uzinduzi wa ‘Woodberry Café’-Wine Tasting & Tapas ft Mad Ice
Woodberry Café (directions on poster below)-Oysterbay, DSM-Free/Bure
05/13/15-7pm/1usiku-9pm/3usiku
‘Shubiri ya Ndoa’-Igizo Lumumba Theatre
CCM Hall-Magomeni Makuti(kituo cha polisi)-DSM-2000Tshs
07/03/15-1usiku/7pm
Dar Smile Music Festival
Classical Music from musicians from France, Germany, Slavic  & Spain-DSM (Serena Hotel, Sea Cliff Hotel & Spanish Ambassador’s Residence-check poster for more details)-70USD 1st 3 nights alafu 250USD for finale night.
04-07/03/15-7pm/1usiku
‘SOSAMI’ Igizo/Theatre
Russian Cultural Centre,DSM-5000Tshs
05/03/15-12:30jioni/6:30pm
Onyesho la anaa za mikono-Monoprints by Gadi Ramadhan
Oasis-Masaki-DSM-Free
10/03/15-6pm/12jioni-8:30pm/2:30 usiku
T-Africa Dansi
Vipaji Gallery Oysterbay, DSM-Free
11/03/15-6pm/12jioni-9pm/3usiku
Harusi Fashion Show of ‘Harusi Trade Fair’
Danken House-DSM-Normal-25,000Tshs, VIP-50,000Tshs
13/03/15-8:30pm
Friday Flashback
Makuti Dar, Oysterbay, DSM-Free
13/03/15-5pm/11jioni-11pm/5usiku
Onyesho la Sanaa ya mikono- Evarist Chikawe na Lutengano Mwakisopile
Coral Beach Hotel, DSM-Free
14/03/15-2pm/8 mchana-6pm/12jioni
Picnic Concert with MUDA and Music Mayday ‘Voices & Vanilla’
MUDA House Garden in Mikocheni,DSM
15/03/15-3pm/9 mchana-6pm/12 jioni
Accoustic Music-Black Tomato ft Paul Nduguru, Ann-Therese B.O.Kildal
Black Tomato downtown-DSM-Free/Bure
17/03/15-6pm/12jioni-9pm/3pm
Launch series (3 days) for Peke-onyesho la Sanaa. Na Paul Nduguru
Black Tomato downtown-Free; Nafasi Artspace-Mnazi mmoja grounds (parade)-Free (Angalia poster chini)
19/03/15-5pm/11jioni-9pm/3usiku
20/03/15-8pm/2usiku-9pm/3usiku
21/03/15-3pm/9mchana-8pm/2usiku

Lyricist Lounge-1year Anniversary/Yaazimisha Mwaka Ft Evans Bukuku; DJ Kahlil
Club 327, Mikocheni-DSM-Free/Bure
21/03/15-7pm/1usiku
Dar Choral Society-Tchaikovsky Symphony No 5 & Beethoven Egmont Overture with Hekima Raymond
Serena Hotel-DSM-Adults pre booked-100,000Tshs-Getini-120,000Tshs
Watoto 5-15yrs-30,000Tshs
28-29/03/15-6:30pm/12:30jioni
Goeth Insitut Film Club
Goeth Institut, DSM-Free/Bure
Kila Alhamisi/Every Thursday

EU Project ‘Fit for Life’
Magomeni & Kigamboni, DSM-www.babawatotofitforlife.net
1st performance ni 28/03/15-3pm/9mchana-6pm/12 jioni (Magomeni, Kagera)
Onyesho la pili is
25/04/15-5pm/11 jioni-8pm/2 usiku (Kigamboni Community Centre-KCC)
Dance Workshop (African Contemporary) with Julie Larisoa (Madagascar)
Russian Culture Centre-DSM
30/03/15-03/04/15-10am/4 asubuhi-12pm/6 mchana
Onyesho la Sanaa na ‘Salum Kambi’
Alliance Francais-Mjini, DSM-Free/Bure
14/04/15-6:30pm/12:30 jioni
Barazani with ‘Marema’ from Senegal
Alliance Francais-Mjini, DSM-Free/Bure
15/04/15-7pm/1 usiku
Tamasha la 7 la Mwalimu Nyerere-‘Kupaza Sauti za Wanyonge’
Mada zinahusu:
1. Mgogoro wa Ardhi kwenye shamba la Mpunga la Kapunga, Mbalali, Mbeya.
2. Mgogoro wa Ardhi Loliondo, Arusha.
3. Mgogoro wa Madini Geita.
4. Mgogoro wa wafugaji na wakulima Kilosa.
Akifurahia mwaliko huu, Ndugu Feint Mwashikumbulu, Mkulima kutoka kijiji cha Kapunga, Mbalali alisema “Nashukuru sana wasomi kutukumbuka wanyonge kwenye mambo yenu. Mimi nitakuja na ushahidi wote kuonyesha jinsi watu wa Kapunga tulivyotoa ardhi yetu enzi za Nyerere kuwapa watu wa NAFCO (Shirika la Taifa la Chakula) halafu leo hii badala ya kuturudishia ardhi yetu wanamuuzia ardhi yote mwekezaji ambaye badala ya kulima mpunga anaishia kutukodisha ardhi wakulima kwa bei ya juu’’
KENYA
1. Mgogoro wa ardhi Garisa, Kenya
KENYA
1. Mgogoro wa Ardhi Mubende, Uganda
2. Mgogoro wa Ardhi na Madini Karamoja, Uganda
Nkurumah Hall-Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM)-Bure/Free

13/04/15 hadi/till the 15/04/15-9pm/3 asubuhi
Onyesho la Sanaa za mikono-Art Exhibition ‘Masoud Kibwana, Dickens Otieno, Alphonce Said’
Oasis Café-Masaki-DSM-Bure/Free
16/04/15-6pm/12 jioni-8:30pm/2:30 usiku
Uzinduzi wa kitabu-‘Tanzania Travelogue-the world of women’
Alliance Francais-Mjini, DSM-Free/Bure
16/04/15-6:30pm/ 12:30 jioni
Filamu Lounge-‘City of Men’
Nafasi Artspace-Mikocheni-DSM- Bure/Free
21/04/15-7:30pm/1:30 usiku
Onyesho la Sanaa za Mikono-FPA
Nkurumah Hall-Chuo Kikuu DSM-UDSM-Bure/Free
22-27/04/15-8:30am-4:00pm/2 asubuhi-10 jioni
Onyesho la Sanaa na Amani Abeid
Black Tomato-Dowtown, Mjini Samora-DSM-Bure/Free
23/04/15-7pm/1 usiku
Concert/Tamasha na OY from Switzerland ft Ashimba na Jagwa Music
Nafasi Artspace-Mikocheni, DSM-Bure/Free
24/04/15-6:30pm/12:30 jioni
Uzinduzi wa nyimbo mpya na video yake-Lady Jay D ‘Give me Love’
MOG House (Iliyokuwa Nyumbani Lounge)-Namanga-DSM Close to Best Bite
24/04/15-7pm-11pm/1 usiku-5 usiku
Onyesho la Sanaa na Raza Mohammed ‘Retrospective’
Nyumbani kwa Balozi wa Switzerland kwa Tanzania-DSM-Bure/Free
25/04/15-3:00pm/ 9 mchana-6pm/12 jioni
Seghito Creations presents ‘Unplugged’-Soul/Jazz/Blues
Makuti Bar & Restaurant-Oysterbay, DSM-Free/Bure
25/04/15-7pm/1 usiku-11pm/5 usiku





Baba Watoto Acrobatics from the EU project
'Fit for Life' for disadvantaged kids in DSM
Mahema wanayoishi watu waliohamishwa
kupisha uwekezaji wa mgodi wa GGM huko Geita.
'7th Mwalimu Nyerere Festival' 















No comments:

Post a Comment