Twitter: @CarolAnande Instagram: @CarolAnande Facebook: @CarolAnande
Afro folk singer from TZ, Ashimba akitumbuiza ndani ya ZIFF mwezi wa saba, pale ZNZ. |
Pia mada ya mwaka ujao kwa tamasha hili la filamu, itakuwa 'Kusaka Furaha' na litaanza kuanzia tarehe 18 mwezi wa saba 2017. Kama kawaida tamasha hili huwa laambatana na maonyesho ya muziki. Mwaka huu tuliona wanamziki mwanana wakipanda jukwaani ndani ya viwanja vya Ngome Kongwe pale mjini Zanzibar. Akiwemo Ashimba, Fid Q, na Juma Nature na wengine wengi. Jionee mwenyewe kwenye picha hizi...
Traditional Gogo musician accompanying Mohammed Matona with his Irimba during the ZIFF festival this year |
Fid Q doing his thing on the16th of July at Nogme Kongwe grounds during the ZIFF festival this year-picha kwa hisani ya ZIFF |
Left-Gora currently learning the Canoon at DCMA and right-Mr Abel one of the teachers at DCMA and an experienced Bassist in ZNZ doing their thing behind Mohammed Matona at the ZIFF festival this year |
Klia-Juma Nature akitumbuiza mambo yake pale jukwaani pa Ngome Kongwe ndani ya tamasha hili la ZIFF mwaka huu |
Mzee hatari wa vyombo vya muziki 'Mohammed Issa Matona' akiwa na chombo chake mathubuti 'Violin'. Ndani ya tamasha la ZIFF mwaka huu |
Background dancer & Vocalist for Ras Katongo at the ZIFF festival this year |
Snoop Lee- naye alipanda jukwaani ile tarehe 16/07 ndani ya Hip-Hop night pale Ngome Kongwe ndani ya tamasha la ZIFF |
Dabo the reggaton artist, naye alipanda jukwaani kwenye tamasha hili kwe mbwembwe na shamra |
Mash Marley from ZNZ, was very energetic at this year's ZIFF giving his audience a lively performance |
Kikundi cha modern taarab-Buzzi kiliwakilisha vyema pale Ngome Kongwe ndani ya tamasha la ZIFF mwaka huu |
Percussionist Kauzeni Lyamba working alongside Ashimba and the G Cliff Band with Matona at the ZIFF festival this year |
Ras Katongo doing his thing during reggae night on the 13th of July at the ZIFF festival this year |
Mdogo wake Mohammed Matona wa kikundi cha 'Music Dell' Buzzi Modern Taarab-Kasim Matona adding his melodious voice to the contents of ZIFF festival this yea |
Mzuka Acrobats doing their thing at the ZIFF festival this year |
Musicians backing Dabo the Vampire a the ZIFF festival this year |
No comments:
Post a Comment