Wednesday, 8 October 2014

Upcoming Art Events Sept/Oct'14

By Sanaa & Culture

Kama mwandishi wa Sanaa huwa napata dondoo za maonyesho mbalimbali yanaoyoendelea jijini Dar es Salaam na mikoa mingine nchini na ndani ya Afrika Mashariki kwa uchache.

Sema haiwi kwamba naweza kuandika makala kuhusu maonyesho yote haya. Hivyo ni vyema niikiwapa 'heads up' on what's happening kama nanyi mwapenda kuyaona maonyesho haya 'live'.

Recently I missed 'Evans Bukuku Comedy Club' which now occurs is in the town center at 'High Spirit Lounge-11th Floor, IT plaza opp PPF Tower. This was on the 30th of Sept, this month it should happen again so keep the watch out.


Pia CDEA the new arts space in Mikocheni B, after the business kituo kona ya pili kabla ya ile barabara ya clouds...in any case check their website for more details. They have a mean 'film club' inayo zingatia filamu za kiafrika toka karne ya 20. They had their last event on the 26th of Sept, na uhakika watakutana tena mwezi huu. will post the same....
Otherwise please enjoy below upcoming and openned art events in TZ...
Name of Event (Onyesho)
Place (Mahali)-Kiingilio (Entrance)
Date/Time (Muda,Siku)
Jan Van Esch-Art exhibition ‘Back’
Black Tomato (Downtown city center-Mjini) organised by NafasiArtspace –Free
Since 18th Sept-23rd Oct
Salum Kambi-Art Exhibition
Coral Beach-Free
Since 12th Sept till Nov
Time 2 Dance
Nafasi Artspace-Mikocheni B,
Dar es Salaam.-Free/Bure
03/10/14 7:30pm, Saa moja na nusu usiku
The Beat Festival
Triniti, Msasani rd 26, Oysterbay DSM-10,000Tshs
3rd Oct 2014, 8:00pm-2 Usiku
Time 2 Dance
Nafasi Artspace-Mikocheni B, Dar es Salaam-Free/Bure
4/10/14-7:30pm-2:30 usiku
‘Soiree Musicale’ with Georgy and Lyudmila Beloglazovs classical pianists…(married;)
House just before Shoppers Plaza in Masaki (if coming from IST-A token of 10K is urged for charity
4/10/14-6pm/12 jioni
Cloud Chatanda- Fine art exhibition-Onyesho la sanaa za mikono (mixed media on canvas) ‘8 years Waiting’
Alliance Francais organised by NafasiArtspace-Free/Bure
7th Oct mpaka 31st Oct
Goethe Film @ Slipway Cinema-(Screening of viewer’s choice film/Filamu itakayo onyeshwa ni pendekezo la wadau wa kikundi hiki)
Slipway Cinema Studio
8th Oct 2014, 7:30pm/Saa moja na nusu usiku
Kikundi cha filamu Goethe-‘ Love me Haiti, Sodiq, Sticking Ribbons’
Goethe-Institut DSM
09/10/14-7pm/1 Usiku
MAKUYA-(Tamasha la Ngoma za Asili TZ’14)
Mtwara-Masasi Boma Stadium
10th-12th Oct-6pm/12jioni
Open Studio-Sanaa ya mikono-Kevin Oduor
NafasiArtspace
11th Oct-4:30pm/10:30jioni
Filamu-Fauteuils D’orchestre
Alliance Francaise
15/10/14-6:30pm/12:30usiku
NashEmCee ‘Kinasa’ (Kiswahili na Sanaa) Swahili Hip Hop akisindikizwa na Zaiid, P the Emcee, Songa
Chuo cha Bandari Tandika DSM
Entrance-4,000Tshs
19/10/2014-1:00pm/7mchana-8:00pm/2:00usiku
Picnic Concert-Muda House Garden
Music MayDay offices in DSM-Kiingilio 15,000Tshs Adults; 5,000 Watoto
19/10/2014-3:30pm/9:30mchana-6pm/12jioni
Gadi Ramadhan-Onyesho la sanaa ya mikono (Art Exhibition) 'Blindfolded'
British Council DSM-Free/Bure
22nd Oct-12/12/14 Opening night (Siku ya uzinduzi) 7:00pm/1:00usiku
Kikundi cha filamu Goethe-‘The thorn of the Rose’
Goethe Institut-DSM
23/10/14-7pm-1 Usiku
Publishing workshop by Hermann Schulz-Warsha ya fasihi za Watoto na Hermann Schulz
National Library DSM-Maktaba Kuu
24/10/14-9:10pm/Saa tatu usiku
Dorien (Fine Art Exhibition)
Black Tomato (Downtown city center/Mjini) DSM
24/10/14-7:00pm/1:00usiku
Open Stage-Jukwaa letu
Goethe Institut DSM
24/10/14-7pm-1 usiku
Oohlala Fridays with DJ/Soulful House
Alliance Francais-Le Bistrot DSM
24th Oct-7:00pm-1usiku
Music Planet Round 5-DJ Fleva v/s DJ Chiko with percussions with Twaba Mohammed
Samaki Samaki Mjini/City Center (On poster no entrance I assume its free) DSM
25t/10/14-9pm/3usiku
Film Screening-Bamako (Mali/France)
Alliance Francais DSM
31st Oct -6:30pm-12:30 jioni










No comments:

Post a Comment